Akili Education Facebook ad: “Vyuo vikuu India kwa 8M”

Ran for 291 days, from October 17, 2025 to August 3, 2026, the last day Crush saw it.
Run by Akili Education on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Want an ad like this for your product?
Crush makes new ad images for your product from this ad: your logo, your product photo, your offer.
Trials from $19.95 USD, then $79.95 USD a month. Cancel anytime.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 1205949424670790
- Platforms
- Facebook, Instagram, Audience Network and Messenger
- Relaunches
- 0
Ad text
Kama bado hujafanya maamuzi ya wapi unasoma mwaka huu, basi huu ndio wakati wako wa mwisho. 🎓 Vyuo vingi nchini India vinafungwa udahili rasmi tarehe 17 Oktoba 2025, na baada ya hapo intake mpya itakuwa mwaka unaofuata september. Usikose nafasi ya kusoma kozi zenye ajira kubwa kama: ✅ Bachelor in Artificial Intelligence ✅ Bachelor in Cyber Security ✅ Bachelor in Radiology ✅ Bachelor in Cardiovascular Technology ✅ Bachelor in Optometry ✅ Bachelor in Aviation Management ✅ Masters in Business Administration (MBA) Kumbuka, gharama ni milioni 8 tu kwa mwaka, ikijumuisha ada, malazi na chakula (milo mitatu kwa siku). Na @akilieducation tunakusaidia kila hatua — kuanzia application, visa, passport hadi unapofika chuoni India. 🇮🇳 Ukiona hii post, share na ndugu jamaa na marafiki inaweza wasaidia kwa namna moja au nyingine watakushukuru sana. Kama una bajeti ya milioni 8 kwa mwaka, comment “India” tukutumie muongozo mzima wa kujiunga. Follow @akilieducation kila siku tuna fursa mpya isipokufaaa wewe, itamfaa mtu wako wa karibu.
Where the ad sends people
docs.google.com
Vyuo vikuu India kwa 8M
Jaza fomu hii kama unataka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi husasani India na una bajeti ya milion 8 kwa mwaka na kuendelea. Fomu hii itatusaidia kupata taarifa zako na kuweza kukuhudumia kwa haraka zaidi ili uweze kusafiri mapema kwenda kuanza masomo yako.
Apply now: forms.gle(opens in a new tab)






