Dr George GRM Facebook ad: “DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID…”

Ran for 117 days, from December 13, 2025 to April 9, 2026, the last day Crush saw it.
Run by Dr George GRM on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Want an ad like this for your product?
Crush makes new ad images for your product from this ad: your logo, your product photo, your offer.
Trials from $19.95 USD, then $79.95 USD a month. Cancel anytime.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 1358499186019156
- Platforms
- Relaunches
- 0
Ad text
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA ( GERD-ACID REFLUX) -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🧷 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🧷 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo. 3.🧷 Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa. 4.🧷Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu. 5.🧷Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi. 6.🧷Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa. 7.🧷 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini. 8.🧷 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati. 9.🧷Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili. 10.🧷 Kupata kikokozi kisichoisha 11.🧷 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara. 12.🧷Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa. 13.🧷Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki 14.🧷 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya). 15.🧷 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa. 16.🧷 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito. 17.🧷Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku. 18.🧷 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri. 19.🧷 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa. 20.🧷Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa. 21.🧷 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo. 22.🧷Kichefuchefu na kutapika. 23.🧷 Miwasho ya ngozi mwilini 24.🧷Masikio kupiga kelele/kuwa mazito. 25.🧷 Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho. 26.🧷 Mdomo kuwa mchungu/Mchachu 27.🧷 Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux. nK 🎯 SASA TUANDAE DAWA YA KUMALIZA DALILI ZOTE HIZO NILIZOZITAJA. (ACID REFLUX) ✅Asali Mbichi robo lita ✅Unga wa alkasus KIJIKO KIMOJA CHA chakula ✅Unga wa habbat souda Kijiko kimoja cha chakula ✔️Unga wa Mbegu za Parachichi kijiko ki moja cha chakula . Changanya vyote hivyo na hiyo ndo dawa. MATUMIZI Chota vijiko viwili vya dawa, changanya kwenye maji moto kisha subiri ipoe halafu kunywa. Tumia mara mbili kwa siku hadi dawa yako iishe Huo ndo msaada mzuri kwa mtu mwenye shida ya Acid reflux✅ yaan acid kupanda kooni 🛑ANGALIZO Kama Una tatizo la Kisukari Usitumie. Asali 🌿JIUNGE nasi kwa Mafunzo zaidi https://chat.whatsapp.com/Fd2hbacowXHJDkmXpVuCyk DAWA HII PIA INATIBU MAGONJWA MBALIMBALI KAMA ✓Vidonda vya tumbo sugu ✓Tumbo kuwaka ka moto ✓Kiungulia kikali ✓Kusafisha Figo ✓Ini kuvimba ✓Bawasili ya ndani au ya nje ✓H pyroli ✓Presha, Kisukari, ✓UTI na Fangas Sugu NK Ukihitaji ilioandaliwa ipo, Dozi kamili Inategemeana na HISTORIA YA Tatizo lako,, Kwa Upande wa ACID KUPANDA KOONI Dozi yake ni kopo NNE (4) na kila kopo Ni elfu (20000) Karibu uanze Tiba . JIUNGE nasi sasa UJIFUNZE ZAIDI. https://chat.whatsapp.com/Fd2hbacowXHJDkmXpVuCyk https://chat.whatsapp.com/CkVOjZqxIj31som42XAKVa www.grm.herbal.clinic.co.tz 📞0755920740 📞0740008940 📞0783052340 NI Mimi Tabibu wako George mwita , kutoka #GRM #HERBAL #CLINIC







