Skip to content
Cashmetanzania

Cashmetanzania Facebook ad: “Wekeza kijanja.”

Cashmetanzania Facebook ad: Wekeza kijanja.

Ran for 179 days, from December 26, 2025 to June 23, 2026, the last day Crush saw it.

Run by Cashmetanzania on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)

Want an ad like this for your product?

Crush makes new ad images for your product from this ad: your logo, your product photo, your offer.

Trials from $19.95 USD, then $79.95 USD a month. Cancel anytime.

About this ad

Meta Ad Library ID
1953020092280500
Platforms
Facebook and Instagram
Relaunches
0

How we count

Ad text

Wekeza kijanja. Nafahamu unasikia habari nyingi kutoka kwa influencers wa uwekezaji katika social media. Wengi wanaongelea traditional investments kama Hati Fungani, Hisa na mfuko wa pamoja. Je ushawahi sikia wanaongelea uwekezaji mbadala (Alternative investment) kama ukopeshaji binafsi? Namaanisha Private Credit . Bila shaka haujawahi. Sio kosa lao. Ukopeshaji binafsi ni elimu mpya kwao na kwa watu wengi Tanzania. Ukopeshaji binafsi (Private credit) is emerging highly performing investment at this moment duniani. Ni uwekezaji wa faida maridhawa na wenye ulinzi dhidi ya mtaji wako hata zaidi ya Hisa. Je wajua kulingana na sheria za uendeshaji wa makampuni pamoja Perking Order Theory wakopeshaji ni watu wa kwanza kulipwa ikiwa kampuni uliyowekeza Hisa ikiyumba? CashMe Tanzania ni kampuni ya kwanza Tanzania inayokuwezesha kukopesha moja kwa moja katika biashara mbalimbali imara na kupata faida hadi asilimia 36% kwa mwaka. Uwekezaji katika CashMe unalindwa na dhamana mbalimbali kama nyumba, magari na hata Hati fungani za serikali. Usipoteza muda!! Ukopeshaji binafsi ( Private Cfedit) ndo habari ya mjini, ya dunia na Tanzania. Kuza uwekezaji wako like a Pro. Kujiunga kama muwekezaji CashMe Tanzania ni bureee kabisa Tembelea www.cashmetanzania.com au piga simu +255 713 560 288. Uwekeza kupitia CashMe Tanzania unasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Masoko ya Mitaji Tanzania (CMSA).

instagram.com

instagram.com

View instagram profile: instagram.com(opens in a new tab)

Similar ads in Finance & Trading

See all Finance & Trading ads