Microspace Technology Facebook ad: “HUDUMA MPYA, KOPA LAPTOP ULIPIE KIDOGO KIDOGO!”

Ran for 11 days, from October 23 to November 3, 2026, the last day Crush saw it.
Run by Microspace Technology on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Make your own version of this ad
Crush makes it, launches it in your own Meta ad account, scales the winners and pauses the losers.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 2294715624651316
- Platforms
- Facebook and Instagram
- Relaunches
- 0
Ad text
HUDUMA MPYA – KOPA LAPTOP ULIPIE KIDOGO KIDOGO! Watu wengi wanahitaji laptop kwa kazi, biashara au masomo, lakini mara nyingi bei ya kununua mara moja inakuwa kubwa. Sasa Microspace Technology tumekuletea suluhisho. 💻 Chukua laptop leo, lipa kidogo kidogo! Unachotakiwa kufanya ni rahisi sana: ✔️ Njoo ofisini na Kitambulisho cha NIDA ✔️ Lipa kanzio kidogo ✔️ Chukua laptop yako na uondoke nayo siku hiyo hiyo Kisha malizia malipo kidogo kidogo kwa miezi utakayokubaliana (hadi miezi 6). ℹ️ Kwa sasa huduma hii imeanza kwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta ya serikali. Hivi karibuni tutapanua huduma hii ili kuwajumuisha pia wanafunzi na makundi mengine. 📍 DAR ES SALAAM: Kariakoo, Mtaa wa Uhuru na Likoma 📍 DODOMA: Uhindini karibu na Nyerere Square 📍 MWANZA: Karuta Street 📞 Mawasiliano: 📲 Dar es Salaam: 0794982600 📲 Dodoma: 0717808039 📲 Mwanza: 0748442007 🚚 Tunatuma bidhaa mikoani kwa uaminifu mkubwa! 👉 Njoo ofisini uchague laptop yako na uanze kuitumia leo. #Microspace #LaptopMkopo #LipaKidogoKidogo #DarEsSalaam #Dodoma #Mwanza #Kariakoo #TechnologyForAll #Tanzania
Where the ad sends people
instagram.com
Microspace Technology
View instagram profile: instagram.com(opens in a new tab)










