G_computer accessories Facebook ad: “ANZA BIASHARA YA WIFI LEO, JENGA CHANZO CHA…”

Ran for 2 days, from November 8 to November 10, 2026, the last day Crush saw it.
Run by G_computer accessories on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Make your own version of this ad
Crush makes it, launches it in your own Meta ad account, scales the winners and pauses the losers.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 29087361950919183
- Platforms
- Facebook and Instagram
- Relaunches
- 0
Ad text
ANZA BIASHARA YA WIFI LEO, JENGA CHANZO CHA MAPATO KILA SIKU! Unatafuta biashara yenye fursa nzuri ya kukua katika ulimwengu wa teknolojia? Biashara ya WiFi ni moja ya fursa unazoweza kuwekeza kwa kutoa huduma ya intaneti kwa wateja wa maeneo mbalimbali. Kupitia vifaa sahihi kama MikroTik, Router na Access Point, unaweza kuanzisha huduma ya WiFi katika maeneo ya makazi, fremu za biashara, guest house, migahawa, vyuo na maeneo yenye uhitaji mkubwa wa intaneti. Jinsi unavyoweza kupata mapato: - Kuuza vifurushi vya WiFi kwa wateja. - Kuweka huduma ya intaneti katika nyumba za kupanga na biashara. - Kusambaza WiFi katika maeneo yenye wateja wengi. - Kutoa huduma za ufungaji, usanidi na matengenezo ya vifaa vya mtandao. G Computer Accessories tunakusaidia kupata vifaa vya kuanzisha na kukuza biashara yako ya WiFi. Tunauza vifaa vya mtandao kwa jumla na rejareja, tunafanya installation, configuration ya MikroTik, mfumo wa voucher na billing pamoja na kuset vifaa vya Access Point kulingana na mahitaji yako. Huhitaji kuwa mtaalamu wa mitandao ili kuanza. Wasiliana nasi tukuelekeze vifaa vinavyofaa kulingana na bajeti yako na aina ya biashara unayotaka kuanzisha. VIFAA NI WATERPROOF HAVILOI MAJI WALA KUHARIBIKA NA JUA G COMPUTER ACCESSORIES — Mshirika wako katika biashara ya internet. Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey Nyuma china plaza WhatsApp: 0656804462 Simu: 0759 639 797 Karibu tujenge biashara yako ya WiFi pamoja!









