forextanzania1 Facebook ad: “Forex Trading kwa Ufupi”

Ran for 151 days, from February 16 to July 17, 2026, the last day Crush saw it.
Run by forextanzania1 on Instagram. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Want an ad like this for your product?
Crush makes new ad images for your product from this ad: your logo, your product photo, your offer.
Trials from $19.95 USD, then $79.95 USD a month. Cancel anytime.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 3213980255439154
- Platforms
- Relaunches
- 0
- Niche
- Finance & Trading
Ad text
📌 Forex Trading kwa Ufupi Forex Trading ni biashara ya *kubadilisha sarafu (foreign exchange)* inayofanyika *mtandaoni (online)*. Unanunua sarafu moja na kuuza nyingine ukiwa na lengo la kupata faida kutokana na mabadiliko ya bei ya sarafu hizo. 💡 Mfano:Ukiwa na Dola za Marekani (USD) na ukabadili kuwa Euro (EUR) wakati thamani ya Euro inapanda, ukiziuza tena unaweza kupata faida. Kwanini ujifunze biashara ya Forextrading: * 📱 Inafanyika popote ulipo ukiwa na simu au kompyuta. * ⏰ Inapatikana masaa 24 kwa siku, siku 5 kwa wiki. * 💵 Unaweza kuanza na mtaji mdogo hata \$10–\$50. * 🚀 Inaweza kuwa chanzo cha kipato cha ziada au hata cha muda wote ukiwa na ujuzi sahihi. Unaweza kujifunza zaidi kupitia www.forextanzania.com Au link iliyopo kwenye bio







