PID Solution Facebook ad: “Ngiri/Hernia Vs Nguvu za kiume”

Ran for 781 days, from April 21, 2024 to June 11, 2026, the last day Crush saw it.
Run by PID Solution on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Want an ad like this for your product?
Crush makes new ad images for your product from this ad: your logo, your product photo, your offer.
Trials from $19.95 USD, then $79.95 USD a month. Cancel anytime.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 399208973060964
- Platforms
- Facebook, Instagram, Audience Network and Messenger
- Relaunches
- 0
Ad text
DALILI ZA MTU MWENYE NGIRI Dalili za ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. Nazo ndizo hizi zifuatazo: 1📎Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2📎Kupiga mingurumo tumboni. 3📎Kujaa gesi tumboni. 4📎Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu. 5📎Kupata haja ngumu kama ya mbuzi. 6📎Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa. 7📎Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara. 8📎Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho. 9📎Nuru ya macho hupotea taratibu. 10📎Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika. 11📎Huvutwa makende au upande mmoja maumivu. 12📎Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu. 13📎Maumivu makali ya mgongo au kiuno 14📎Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto 15 📎Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi 16📎 Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia) 17📎 Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas. 18📎 Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas. 19📎 Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja). UHUSIANO ULIOPO KATI YA NGIRI (HERNIA) NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ______________________________________________ ⚫ Hernia (Ngiri) ni miongoni mwa matatizo makubwa sana ambayo hupelekea upungufu wa nguvu za kiume kwa haraka sana. ⚫ Mwanaume anapopata Hernia (Ngiri),maeneo ambapo ngiri hutokea mara nyingi huwa na muunganiko (Uhusiano) na mishipa ya damu pamoja na Neva ambazo hufanyakazi ya kutoa na kupeleka taarifa kwenye korodani na uume (penis) pia kupeleka damu kwenye uume ili kuruhusu uume kusimama Imara *(STRONG ERECTION)* ⚫ Inapotokea Ngiri,usafirishaji wa damu kwenda kwenye uume pamoja na taarifa hushindwa kufanyika kwa weledi,matokea yake uume husimama legelege *(ERECTILE DYSFUNCTION)*,hali hii husababisha Mwanaume kuwahi kufika kileleni *(pre-mature ejaculation)* pamoja na kukosa hisia za mapenzi na kushindwa kurejea tendo la ndoa kwa wakati.Lakini hali hii husababisha maumbile kurudi ndani na kuwa kama ya mtoto mdogo. ⚫ Lakini pia Ngiri huathiri mpaka mirija ya kusafirisha Manii *(Vas defens)* hivyo husababisha kiwango kidogo cha mbegu kuzalishwa *(Low sperm count)* na matokeo yake mwaume kushindwa kumpa mimba mwanamke. MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA: 🖇️Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa. Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza kama una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie kama kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk. •Dr.anaweza kujiridhisha zaid kama mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵ - ULTRASOUND - CT SCAN - MRI Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha kama mtu ana ngiri ama hana. *ANGALIZO* • Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan. • Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri. • Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji. • Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa Recurrent Hernia,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa Recurrent hernia.Na kuna ngiri huitwa *Incissional hernia* ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri. • Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea. 🖇️ MATIBABU MBADALA/ASILIA: -Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa tiba mbadala ikiwemo Tiba asilia kwa kutumia mimea tiba. Faida kubwa ya Matibabu kwa njia hii ni kwamba haihusishi upasuaji lakini pia inaponesha kabisa ngiri bila upasuaji endapo mtu atapata dawa iliyofanyiwa utafiti wa kitaalamu kwaajili ya matibabu ya Ngiri.Zipo dawa nyingi za asili zenye uwezo wa kutibu ngiri bila upasuaji, mfano wa dawa hizo ni dawa iitwayo *NGIRI SUGU*,dawa hii ina ufanisi mkubwa sana katika kutibu ngiri Sugu(zilizovimba) na ngiri Changa (ambazo hazijavimba). ⚫ Changamoto kubwa ya njia hii ni kwamba wengi katika ambao wanatoa matibabu ya ngiri kwa tiba asili hawana elimu ya kutosha juu ya mimea dawa,magonjwa na kanuni za kimatibabu hivyo hupelekea kuonekana dawa zao kutofanyakazi na kuonekana ni matapeli. Pandexherbal clinic tz. Ilala Dsm - Pangani Street 0774209882
Where the ad sends people
Ngiri/Hernia Vs Nguvu za kiume
Whatsapp message: api.whatsapp.com(opens in a new tab)






