ACID Reflux solution. Facebook ad: “SULUHISHO LA ACID REFLUX”

Ran for 575 days, from September 11, 2024 to April 9, 2026, the last day Crush saw it.
Run by ACID Reflux solution. on Facebook. Crush is not the advertiser and does not verify its claims. See this ad in Meta's Ad Library(opens in a new tab)
Want an ad like this for your product?
Crush makes new ad images for your product from this ad: your logo, your product photo, your offer.
Trials from $19.95 USD, then $79.95 USD a month. Cancel anytime.
About this ad
- Meta Ad Library ID
- 561802249506899
- Platforms
- Facebook, Instagram, Audience Network and Messenger
- Relaunches
- 0
Ad text
DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux ⚫Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo. 3.🔗 Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa. 4.🔗 Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu. 5.🔗 Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi. 6.🔗 Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa. 7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini. 8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati. 9.🔗 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili. 10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha 11.🔗 Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara. 12.🔗 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa. 13.🔗 Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki 14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya). 15.🔗Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa. 16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito. 17.🔗 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku. 18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri. 19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa. 20.🔗 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa. 21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo. 22.🔗Kichefuchefu na kutapika. 23.🔗 Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho 24.🔗 Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito 25.🔗 Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake. 26.🔗 Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono. 27.🔗 Kupata kwikwi mara kwa mara. 28.🔗 Presha kupanda (temporary hypertension) 29.🔗 Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya njano au kijani 30.🔗 Kuhisi jamii imekutenga na kukata tamaa ya kuishi. 31.🔗 Kuhisi vitu vinatembea mwilini. 32.🔗 Kuhisi umerogwa hali inayopelekea wengi kukimbilia kwa waganga wa mizimu. KWA MSAADA NA USHAURI, WASILIANA NASI:⤵️⤵️ __________________________________ PANDEX HERBAL CLINIC +255 656 198 441 [email protected] DAR ES SALAAM. ILALA-PANGANI & UTETE STREET. __________________________________
Where the ad sends people
SULUHISHO LA ACID REFLUX
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.
Whatsapp message: api.whatsapp.com(opens in a new tab)






